Wapi kuna Sports bar maeneo karibu na Tabata Segerea?

Wapi kuna Sports bar maeneo karibu na Tabata Segerea?

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Sehemu ambayo ni Sports bar naweza angalia mpira wa ligi kama England /

Achana na hizi bar za kawaida ukienda wanaweka mziki unaangalia gemu ya mpira kama vile unaangalia pilau. Sauti zero.
Mi nataka sebemu mpira unausikilza na kuungalia ukiwa umetulia.

Achana na vibanda umiza full joto

Maeneo karibu na Tabata Segerea tafadhali
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwa sasa baa zote kubwa mpira lazima uoneshwe shida ipo hapo kwenye mademu na mziki hakuna baa ikakosa ivyo vitu we changanya tu pilau na mpira ivo ivo tu.
 
Aah nataka utamu wa sports bar.
Home katuni na philipino movies kwa sana plus cost cutting pia.
Ndo changamoto kuzipata sasa 😂😂😂😂😂 sio kila mlevi anapenda mpira.
 
Kwa sasa baa zote kubwa mpira lazima uoneshwe shida ipo hapo kwenye mademu na mziki hakuna baa ikakosa ivyo vitu we changanya tu pilau na mpira ivo ivo tu.
Hahahaha pilau na mfira ◉‿◉
 
Back
Top Bottom