lakei
Member
- Aug 29, 2022
- 42
- 14
Ndugu wana JF kulingana na utafiti wangu mdogo nimeona kuna uhitaji wa uzi wenye kujuzana wapi unaweza pata vitu kama vilivyotajwa hapo juu na vingine vinavyohitajika katika magari au mashine kutoka kwa wauzaji tofauti tofauti wenye hicho kifaa iwe kwa bei ya jumla au reja reja.
Lengo ni kujua sehemu fulani nitakipata baada ya kupata maelekezo ya kutosha kutoka kwa muhusika anayeuza ili kupata mwanga na utafutaji ulio rahisi tofauti na uanze kuzunguka sehemu bila mwelekeo. Wauzaji watapost walivyonavyo na kama kuna ambacho hujakiona kama mtafutaji unaweza kukipost unachokihitaji ili watu wakione nakuangalia kama watakuwa na bidhaa husika.