Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
SawaNgoja waje
Kuna watu wanaitwa IRVINE wako Nyerere road maeneo ya vingunguti karibu na SBC(PEPSI)Wakuu ninauliza kama kuna yeyote anaifahamu kampuni au mtu anayetoa huduma ya kuuza vitu ambavyo vinekwisha tengenezwa ili viweze kuchanganywa kwenye vyakula vya mifugo.Vitu ambavyo ninavihitaji ni kama ifuatavyo
Lysine
Methionine
Layer concentrate
Broiler concentrate
Limestone
Unga wa mifupa
Mineral vitamin premix
Damu iliyokaushwa
Dcp na vinginevyo
kila kimoja kiwe kwenye mfuko wa 25kg
Aha sawa mkuu,hawa naonaga mifuko yao ya vyakula vya mifugoKuna watu wanaitwa IRVINE wako Nyerere road maeneo ya vingunguti karibu na SBC(PEPSI)
Nenda oilcom Ubungo karibu daraja fly over....Wakuu ninauliza kama kuna yeyote anaifahamu kampuni au mtu anayetoa huduma ya kuuza vitu ambavyo vinekwisha tengenezwa ili viweze kuchanganywa kwenye vyakula vya mifugo.Vitu ambavyo ninavihitaji ni kama ifuatavyo
Lysine
Methionine
Layer concentrate
Broiler concentrate
Limestone
Unga wa mifupa
Mineral vitamin premix
Damu iliyokaushwa
Dcp na vinginevyo
kila kimoja kiwe kwenye mfuko wa 25kg
Duka linaitwaje mkuuNenda oilcom Ubungo karibu daraja fly over....
Wewe uko setious kweli ?? Oilcom ...utauliza utaonyeshwa unataka jina la duka dukani ?Duka linaitwaje mkuu
Mskilize Jamaa pale vitu Bei nafuu Sana.Duka linaitwaje mkuu
Wapi mkuuMskilize Jamaa pale vitu Bei nafuu Sana.
Hahaha sipajui mkuu nipo mkoaniWewe uko setious kweli ?? Oilcom ...utauliza utaonyeshwa unataka jina la duka dukani ?
Nataka ile ya kwenye pakitiDamu iliyokauka kwa wingi nenda vingungut machinjion
Oil com pale mataaWapi mkuu
SawaOil com pale mataa
Upo mkoa gani tukuelekeza huko ulipo?Hahaha sipajui mkuu nipo mkoani
Pole sana....kwa mkoani sina zaidi .....tafuta wakala huko huko ulikoHahaha sipajui mkuu nipo mkoani
Nipo MbeyaUpo mkoa gani tukuelekeza huko ulipo?