Wapi kwenye nafuu? Kusoma chuo kikuu ama vyuo vya ufundi?

Wapi kwenye nafuu? Kusoma chuo kikuu ama vyuo vya ufundi?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Salaam wakubwa..

Hivi kwa Hali ya sasa, ni wapi kwenye uangalau iwapo ukisoma at least utapata maarifa Fulani kwenye maisha???
Yaani wapi utapata vitu vyenye application kwenye maisha?
1: chuo kikuu. (university)
2:Vyuo vya ufundi (technical)..

Wapi unapoona panafaa kwa usawa wa sasa??

Pancho boy
 
Inategemea malengo yako na hali yako kimaisha. Kila moja ina faida zake na hasara zake.
 
Ufundi harafu uwe na sent kidogo ukatuliza kichwa una toboa faster.. Na ukiupatia vizuri unakula popote pale.
Lazima uingie Uni upate degree ila huitaji kwenda chuo kupata ufundi then kuhusu kutoboa maisha chukua idadi ya walosoma degree Uni na hao wa ufundi wepi walotusua.
 
Salaam wakubwa..

Hivi kwa Hali ya sasa, ni wapi kwenye uangalau iwapo ukisoma at least utapata maarifa Fulani kwenye maisha???
Yaani wapi utapata vitu vyenye application kwenye maisha?
1: chuo kikuu. (university)
2:Vyuo vya ufundi (technical)..

Wapi unapoona panafaa kwa usawa wa sasa??

Pancho boy
Nafikiri vyuo vya ufundi, ila hakikisha vina waalimu na vifaa vya kufundisha.
 
Salaam wakubwa..

Hivi kwa Hali ya sasa, ni wapi kwenye uangalau iwapo ukisoma at least utapata maarifa Fulani kwenye maisha???
Yaani wapi utapata vitu vyenye application kwenye maisha?
1: chuo kikuu. (university)
2:Vyuo vya ufundi (technical)..

Wapi unapoona panafaa kwa usawa wa sasa??

Pancho boy
usifananishe vyuo vikuu na ujinga
 
Back
Top Bottom