Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Unaweza kunipa ABC ya faida za pande mbili kidoogo..Inategemea malengo yako na hali yako kimaisha. Kila moja ina faida zake na hasara zake.
Kule jukwaa la elimu ziko nyuzi nyingi tu kuhusu hili nenda ka search huko.Unaweza kunipa ABC ya faida za pande mbili kidoogo..
Ndo maana nimeuliza??Ufundi unafaida gani umeona.
OukKule jukwaa la elimu ziko nyuzi nyingi tu kuhusu hili nenda ka search huko.
Lazima uingie Uni upate degree ila huitaji kwenda chuo kupata ufundi then kuhusu kutoboa maisha chukua idadi ya walosoma degree Uni na hao wa ufundi wepi walotusua.Ufundi harafu uwe na sent kidogo ukatuliza kichwa una toboa faster.. Na ukiupatia vizuri unakula popote pale.
Nafikiri vyuo vya ufundi, ila hakikisha vina waalimu na vifaa vya kufundisha.Salaam wakubwa..
Hivi kwa Hali ya sasa, ni wapi kwenye uangalau iwapo ukisoma at least utapata maarifa Fulani kwenye maisha???
Yaani wapi utapata vitu vyenye application kwenye maisha?
1: chuo kikuu. (university)
2:Vyuo vya ufundi (technical)..
Wapi unapoona panafaa kwa usawa wa sasa??
Pancho boy
Kwanini unaona hivyo mkuu??Nafikiri vyuo vya ufundi, ila hakikisha vina waalimu na vifaa vya kufundisha.
Sawa mkuuUfundi harafu uwe na sent kidogo ukatuliza kichwa una toboa faster.. Na ukiupatia vizuri unakula popote pale.
usifananishe vyuo vikuu na ujingaSalaam wakubwa..
Hivi kwa Hali ya sasa, ni wapi kwenye uangalau iwapo ukisoma at least utapata maarifa Fulani kwenye maisha???
Yaani wapi utapata vitu vyenye application kwenye maisha?
1: chuo kikuu. (university)
2:Vyuo vya ufundi (technical)..
Wapi unapoona panafaa kwa usawa wa sasa??
Pancho boy