KAMANDA HANGA
Senior Member
- Sep 22, 2011
- 158
- 58
Wana Jf naomba mwenye taharifa za wapi alipo na shuguli anazofanya huyo waziri wa zamani wa mambo ya ndani na mwanasheria mahiri na mwanzilishi wa IMMMA Advocate. Kumekuwa na uvumi mwingi juu ya mwanasisa huyo kijana; wengine wanadai kafulia sasa anakampuni ya kuzoa taka, wengine wanadai ni mmoja wa wakurugenzi wa lake oil akiwa na ritz, ila kibaya zaidi hata shuguli za IMMMA hatumuoni wala kumsikia, na hata Kempinski level 8, Much more bills na kwingineko haonekani. Tafadhari mwenye habari ya uhakika juu yake atujuze tuondoe walakini. Naomba kuwasilisha.