Wapi lilipo baraza la maaskofu?

Wapi lilipo baraza la maaskofu?

Joined
Aug 5, 2011
Posts
11
Reaction score
1
msaada jamani naomba mnielekeze jinsi ya kufika baraza la maaskofu kurasini. mimi natokea Sanza vatikani. nipande magari ya wapi na nishuke kituo gani? maana naenda kwanye interview j3
 
msaada jamani naomba mnielekeze jinsi ya kufika baraza la maaskofu kurasini. mimi natokea Sanza vatikani. nipande magari ya wapi na nishuke kituo gani? maana naenda kwanye interview j3

Nenda Kariakoo, panda gari za temeke shimo la udongo mweleze konda atakushusha au panda gari za Sinza tandika ukifika Sudan shuka upande gari za Kariakoo shimo la Udongo mweleze Konda atakusha
 
Back
Top Bottom