Asante kwa ushauri,1. Wilaya ya kalambo, yote nenda Hadi mpakani mwa zambia huko
2. Namanyere huko, Sumly amefanya uwekezaji mkubwa kwenye kilimo cha mahindi.
NB ghalama za uendeshaji wa hii miladi ya kilimo si mikubwa mno ukilinganisha na mikoa mingine
Naomba niulize Kwanza maana sipo maeneo hayo ...ila ni chini ya laki tano,Asante kwa ushauri,
Mashamba wanauzaje huko?
Mkuu, mrejesho tafadhali!Naomba niulize Kwanza maana sipo maeneo hayo ...ila ni chini ya laki tano,
Mkuu, ulifanikisha?1. Wilaya ya kalambo, yote nenda Hadi mpakani mwa zambia huko
2. Namanyere huko, Sumly amefanya uwekezaji mkubwa kwenye kilimo cha mahindi.
NB ghalama za uendeshaji wa hii miladi ya kilimo si mikubwa mno ukilinganisha na mikoa mingine
Mara nyingi inacheza 200000-250000 per eksMkuu, mrejesho tafadhali!
πππMara nyingi inacheza 200000-250000 per eks