Wapi maeneo ya Kanda ya Ziwa naweza pata ng'ombe wazuri

Wapi maeneo ya Kanda ya Ziwa naweza pata ng'ombe wazuri

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wakuu salaam.

Niko hapa mkoa wa Geita nilikuwa nashida ya kupata ng'ombe wa maziwa ambao wanaweza kutoa angalu Lita 20 kwa siku.

Mwenye uelewa sehem napo weza pata hawa ng'ombe! Msaada wakuu.

shukurani.
 
Mkuu ng'ombe wazuri wanatoka kenya. pia huwa nasikia shinyanga kuna shamba la hao ng'ombe wa maziwa .
kutoka kenya hadi mwanza si chini ya m3 hv na anakuwa na mimba
 
Wakuu salaam.

Niko hapa mkoa wa Geita nilikuwa nashida ya kupata ng'ombe wa maziwa ambao wanaweza kutoa angalu Lita 20 kwa siku.

Mwenye uelewa sehem napo weza pata hawa ng'ombe! Msaada wakuu.

shukurani.
Habari za leo naomba umtafute MD wa Elly Farm 0752 742617 yupo Mwanza.
 
Back
Top Bottom