nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Kwa muda sijaona post yoyote kutoka kwa Manengelo, siku hizi yuko wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aki Wangari Maathai ndio jina lake mpya?
Ndo huyohuyoAki Wangari Maathai ndio jina lake mpya?
Wapi madam cute
Kawekwa kwenye self safe isolation place 🤰 na BujibujiKwa muda sijaona post yoyote kutoka kwa Manengelo, siku hizi yuko wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata MI tyta nampata sana jamani sijui yupo wap, shyland yupo bado humu sema yupo bizeTayta ndo namfikiliaga kila siku. Enzi zake za kuumbua wenye nyuzi fek
Ngoaha shy land sijui alishafika wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioAki Wangari Maathai ndio jina lake mpya?
AsanteN
Ndio
MATAGA usipowaona humu jua polepole ameshawany'ang'anya smart phone za chama.
Tyta ndo mtu wa kwanza kuwa na uwezo wa kuunganisha nyuzi. Harafu jf ya kipindi hicho ilikuwa tofauti katika mfumoHata MI tyta nampata sana jamani sijui yupo wap, shyland yupo bado humu sema yupo bize