Aki Wangari Maathai ndio jina lake mpya?
Ndo huyohuyoAki Wangari Maathai ndio jina lake mpya?
Wapi madam cute
Kawekwa kwenye self safe isolation place ๐คฐ na BujibujiKwa muda sijaona post yoyote kutoka kwa Manengelo, siku hizi yuko wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata MI tyta nampata sana jamani sijui yupo wap, shyland yupo bado humu sema yupo bizeTayta ndo namfikiliaga kila siku. Enzi zake za kuumbua wenye nyuzi fek
Ngoaha shy land sijui alishafika wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioAki Wangari Maathai ndio jina lake mpya?
AsanteN
Ndio
MATAGA usipowaona humu jua polepole ameshawany'ang'anya smart phone za chama.
Tyta ndo mtu wa kwanza kuwa na uwezo wa kuunganisha nyuzi. Harafu jf ya kipindi hicho ilikuwa tofauti katika mfumoHata MI tyta nampata sana jamani sijui yupo wap, shyland yupo bado humu sema yupo bize