Wapi mastaa wa bongo wajenga misikiti?

Mungik

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2020
Posts
714
Reaction score
1,035
★Sadio Mane is transforming his village to a town. 🇸🇳

He built a £455000 hospital and €250000 school in his village, Bambaly.

He gives each family €70 monthly.

He provided 4G internet for them.

He is building a fuel station and post office.

2000 people live in his village.

Respect. 👏
 
£70 x wanakijiji 2000 ni £140,000

Ambayo ni sawa na milioni 400 za kibongo!

So jamaa anatumia milioni 400 kila mwezi kuwapa mshahara wanakijiji?
 
Kichwa cha habari cha huu uzi kinaonesha chuki na dharau kwa jamii nyengine.

Watu kama hawa Mungu akiwapa uwezo ni majivuno na dharau kwa wengine.
Muungu mueoushie mbali
 
Cha kupewa pewa
Huo ndio unyonge na umaskini na ufukara wenyewe
 
£70 x wanakijiji 2000 ni £140,000

Ambayo ni sawa na milioni 400 za kibongo!

So jamaa anatumia milioni 400 kila mwezi kuwapa mshahara wanakijiji?
Wanakijiji 2000 na kama familia 500 kwa ratio ya watu wa4 kwa familia.
So it is 70 *500 ambayo ni kama Milion 100 kwa mwezi.
Ni pesa ndefu kwa mtu binafsi kutoa
 
Kuwapa watu cash money kila mwezi bila kufanya kazi hiyo nikuwafanya wawe wazembe. Hela zake simpangii, ila ingekuwa jambo jema kama angewawezesha. Ni maoni tu jamani, msiniue.
 
Kuwapa watu cash money kila mwezi bila kufanya kazi hiyo nikuwafanya wawe wazembe. Hela zake simpangii, ila ingekuwa jambo jema kama angewawezesha. Ni maoni tu jamani, msiniue.
Kama zile milioni hamsini walipewa kila kijiji wabongo au vipi Mkuu???? Amechukuwa system nchi za wenye akili wasiokuwa na uwezo huwa wanalipwa,ukifikilia kibongo bongo utaona kama haiwezekani...Kwani viongozi siku zote huimba hamna serikali duniani inawapa pesa watu wake,kwa kuwa wengi tumevaa miwani ya mbao tunawaamini,kutupatia zaidi wametufanya hata Films za wenye akili tusiangalie wametuwekea waturuki =waarabu,na wa North Korea.
 


Hizo nchi unazosema watu wanaopewa pesa ni wale ambao wamepata uthibitisho kutoka kwa daktari kwamba hawana uwezo wa kufanyakazi. Na hiyo pesa wanayopewa ni ndogo sana kulingana na gharama za maisha. Kwa wale wasio na ajira hela wanayopokea baada ya miezi miwili lazima watakatute kazi kwasababu baada ya kulipa bills zote inabidi wadundie mpaka fegi. Hizo story bora uzisikie hivyohivyo tu.
 
£70 x wanakijiji 2000 ni £140,000

Ambayo ni sawa na milioni 400 za kibongo!

So jamaa anatumia milioni 400 kila mwezi kuwapa mshahara wanakijiji?
Each family. Sio each person
 
Hatujengi Academy za kufuga washenzi na wanafiki bora tuhonge kuliko kuigiziwa
 
Hawa wa Senegal wanajua kujali kwao wakifanikiwa mf Akon pia kafanya makubwa,ila mbongo akiwa nje hatak hata kujulikana kama anatoka bongo hahah

Nenda na wewe nje usaidie kwenu sio kubebesha wengine shida zenu
 

Na wewe kuwa star ujenge misikiti badala ya kubebesha wengine shida zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…