Wapi mastaa wa bongo wajenga misikiti?

Mhhhh Upo China nini mshikaji?? Au South africa?? Waliothibitishwa na Dr wao wagonjwa, kuna wazima ila wamekosa kazi kwa sababu yoyote ile.. Machinga hazina nafasi kama bongo,sasa hao kwa wenye akili wanalipwa,pesa ambayo inawatosha kupata kila kitu kuhusu chakura hili walishafuta miaka mingi iliopita hawana tatizo la chakura, .. naoengelea Western Europe.
 
The so-called stars don't owe anybody shit.

Kama unataka kujenga misikiti, tafuta hela zako ujenge wewe sio kupangia wengine matumizi ya hela zao.
Du??? Unaelewa kinachoandikwa au unavamia tu??? Hebu kapate chips dume kwanza halafu uwashe tecno yako.
 


Western Europe unayosema ni lazima ufanyekazi ndio maisha yaende. Wasio na ajira wanalipwa hela ndogo sana ya kijikimu kwa period of time huku wakiendelea kutafuta kazi. Tena kuna nchi nyingine unatakiwa uonyeshe jinsi gani unatafuta kazi ili ipewe hiyo hela. Kitu kingine kwa wenzetu hakuna tatizo la ajira kama kwetu labda uwe mtu wa kuchagua kazi. Watu wengi wanaotegemea government money are lazy. In short, serikali haiwezi kukupa pesa maisha yako yote, lazima ufanyekazi ndio ule
 
kwanini munapenda kuwapangiia watu cha kufanya kwenye hela zao? wabongo bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…