saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Mbona naona km serikali imesimama kila mwenye kanafasi anajifanyia anavyoona inamfaa. Wiki hii wameripoti wanafunzi wanajiunga na masomo ya sekondari kidato cha kwanza 2025. Kuna shule za serikali ambazo zina ufaulu mzuri walimu wakuu(Headmasters) wanauza nafasi za kujiunga na shule hizo kwa kuhamishiwa watoto waliochaguliwa shule zingine kwa rushwa ya mpaka Milioni moja au zaidi.
Mifano michache kuna shule pale Manyara kama Ayalagaya Sekondari na Dareda sekondari. Arusha kuna shule inaitwa Ngabobo iko Ngarenanyuki, kuna mmbulu pale anatafuna hela utafikiri shule ya babake.
Ukiachana na rushwa, sahivi wiki imeisha watoto hawajafundishwa chochote, kisa hakuna vitabu wala miongozo ya mitaala mipya. Tunachorushiwa sahivi na TBC kila siku ni maghorofa ya skuli zanzibar. Tuemepatwa na nni km Nchi?