Benaya- JF-Expert Member Joined Jul 31, 2019 Posts 4,415 Reaction score 7,631 Sep 20, 2020 #21 sengobad said: Mbona hasemi chochote uzushi tuu, cdm ilimstukia mapema Click to expand... Akijitokeza na kuongea tume itaanza mbinu chafu, hivi hamjasikia alichosema Lissu Zanzibar na Kigoma? Bado hamsomi alama za nyakati? Lazi imeiva
sengobad said: Mbona hasemi chochote uzushi tuu, cdm ilimstukia mapema Click to expand... Akijitokeza na kuongea tume itaanza mbinu chafu, hivi hamjasikia alichosema Lissu Zanzibar na Kigoma? Bado hamsomi alama za nyakati? Lazi imeiva
thetallest JF-Expert Member Joined Oct 21, 2017 Posts 8,271 Reaction score 9,113 Sep 20, 2020 Thread starter #22 Fursakibao said: Ndugu ukiona hivyo unue kila Kona wamekaba hadi penalty, pesa wakati huu huwezi iingiza kirahisi Click to expand... Kwisha habari yake
Fursakibao said: Ndugu ukiona hivyo unue kila Kona wamekaba hadi penalty, pesa wakati huu huwezi iingiza kirahisi Click to expand... Kwisha habari yake
thetallest JF-Expert Member Joined Oct 21, 2017 Posts 8,271 Reaction score 9,113 Sep 20, 2020 Thread starter #23 mapololo said: Si alisemaga "niguse ninuke"Sasa Kesha guswa. Click to expand... Wala hanuki [emoji23][emoji23][emoji23]
mapololo said: Si alisemaga "niguse ninuke"Sasa Kesha guswa. Click to expand... Wala hanuki [emoji23][emoji23][emoji23]
thetallest JF-Expert Member Joined Oct 21, 2017 Posts 8,271 Reaction score 9,113 Sep 20, 2020 Thread starter #24 Stan Mashamba said: Exactly. CDM-ACT strategy. Click to expand... Hopeless