Wapi mkopo?

Wapi mkopo?

MimiT

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
599
Reaction score
388
Nina biashara ndogo ya stationery.(ina miezi minne sasa) Nahitaji kukuza biashara yangu iwe kubwa zaidi. Ni benki gani inatoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo kwa riba nafuu?
 
Elezea biashara yako unataka kuikuza kwa kiwango gani na kiasi gani ungehitaji kwa ajili ya mkopo.
Returns zako kwa wiki zikoje?
 
Back
Top Bottom