mbalila JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 824 Reaction score 161 Dec 27, 2013 #1 wana jf napenda kujua yuko wapi Mr.Nice alikuwa mmoja ya wanamziki waliokuwa wanapendwa na watu wa kila lika
wana jf napenda kujua yuko wapi Mr.Nice alikuwa mmoja ya wanamziki waliokuwa wanapendwa na watu wa kila lika
Kiboko. JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 2,891 Reaction score 1,214 Dec 27, 2013 #2 Yupo kwa bibi ako namtumbo anaimba "fagilia,fagilia Bongoo,,,, Wawaaaaaaaaaaaaaa"
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,277 Reaction score 8,860 Dec 27, 2013 #3 mbalila said: wana jf napenda kujua yuko wapi Mr.Nice alikuwa mmoja ya wanamziki waliokuwa wanapendwa na watu wa kila lika Click to expand... Aisee hali ya huyu jamaa ni mbaya sana
mbalila said: wana jf napenda kujua yuko wapi Mr.Nice alikuwa mmoja ya wanamziki waliokuwa wanapendwa na watu wa kila lika Click to expand... Aisee hali ya huyu jamaa ni mbaya sana
Ethical Ninja CEH JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 3,695 Reaction score 5,042 Dec 28, 2013 #4 Usiku utamkuta Ambiance ( Anacheza pool table) ama Uhuru Peak anakunywa ndovu
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,256 Reaction score 16,317 Dec 28, 2013 #5 atakua anauza mbege rombo
Iamjac16 JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 214 Reaction score 53 Dec 28, 2013 #6 Muulize Dna Aliyempeleka Grandpa Records Badala Ya Kupiga Show Akawa Mlevi