elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
wana jamvi, kuna mtu anataka ku invest tanzania lakini hataki invest ndogo ndogo walau anataka sehemu ya kuwekeza ela isiyo pungua tshs 1 billion. Je sehemu gani anaweza wekeza na akawa sure kupata faida nzuri?
Mkuu ni PM nikupe dili la maana ndani ya mwaka unapiga faida ya bil2 that means unakua na bil3 after one year.
Mkuu mwambie huyo bwana pesa billioni 1 haitaji tena kuangaika na investment, yeye aziweke benki atakuwa anakula interest kila mwezi bila jashowana jamvi, kuna mtu anataka ku invest tanzania lakini hataki invest ndogo ndogo walau anataka sehemu ya kuwekeza ela isiyo pungua tshs 1 billion. Je sehemu gani anaweza wekeza na akawa sure kupata faida nzuri?
Yaani ale riba???mkuu bora kapige jembe!Mkuu mwambie huyo bwana pesa billioni 1 haitaji tena kuangaika na investment, yeye aziweke benki atakuwa anakula interest kila mwezi bila jasho
Mkuu mwambie huyo bwana pesa billioni 1 haitaji tena kuangaika na investment, yeye aziweke benki atakuwa anakula interest kila mwezi bila jasho
Riba ni haramu!Rafiki kwa interest ya 2 % ya benki zetu kwa mwaka, kwa mwezi anapata mil 1.66 tu. Hiyo ni pesa kidogo sana. Kama yuko DAR benki pekee yenye interest kubwa kwa savings account ni Dar es Salaam Community Bank (DCB), ambayo inatoa 5 %. Na kwa pesa yake hiyo anapata mil 4.166 kwa mwezi angalau hiyo kama hana matumizi makubwa sana.
Riba ni haramu!
mkuu
investment inayofaa ni real estate, apartments or commercial buildings projects
if interested ni pm for apartment project in terms of joint venture investment in one of the very prime area in arusha city center, very good returns