Wapi mtu anaweza invest mtaji wa more than 1 Bilion for great return profits hapa Tanzania?


Hiyo ni minimum amount anayo taka ku invest
 
wana jamvi, kuna mtu anataka ku invest tanzania lakini hataki invest ndogo ndogo walau anataka sehemu ya kuwekeza ela isiyo pungua tshs 1 billion. Je sehemu gani anaweza wekeza na akawa sure kupata faida nzuri?

Vipi mkuu kuhusu huyo muwekezaji, alifanikiwa kupata fursa ya kuwekeza?
Kama hajapata tupe mrejesho ili tumpe fursa zilizopo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…