Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Mbeya leo imepiga balaa ...leo Jana ni full kipupweHabari wana jf.
Kamtizamo tu binafsi, inaonekana kwa namna hizi mvua zinavonyesha 2023 inaezakuwa na kaneema kidogo hasa kwenye kilimo, watu wakalima na Wakavuna sana tu japo bei ya Chakula ishuke kidogo.
Tupia mbegu sasa 😁Manyara inamwagika balaaa