imeldaB
Member
- Aug 23, 2019
- 39
- 67
Habari wanajukwaa! Nina shida na cardboard sheet ambayo ndizo zinatumika kutengeneza mabox. Wapi naweza kupata Kwa Tanzania hii na bei zake zipoje. Kwa yeyote mwenye taarifa tusaidiane.
View attachment 2862198
View attachment 2862198