imeldaB Member Joined Aug 23, 2019 Posts 39 Reaction score 67 Jan 3, 2024 #1 Habari wanajukwaa! Nina shida na cardboard sheet ambayo ndizo zinatumika kutengeneza mabox. Wapi naweza kupata Kwa Tanzania hii na bei zake zipoje. Kwa yeyote mwenye taarifa tusaidiane. View attachment 2862198
Habari wanajukwaa! Nina shida na cardboard sheet ambayo ndizo zinatumika kutengeneza mabox. Wapi naweza kupata Kwa Tanzania hii na bei zake zipoje. Kwa yeyote mwenye taarifa tusaidiane. View attachment 2862198
MRH28 Member Joined Aug 9, 2014 Posts 8 Reaction score 4 Jan 4, 2024 #2 weka na picha tuone ni cardboard zipi unazungumzia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 4, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
imeldaB Member Joined Aug 23, 2019 Posts 39 Reaction score 67 Jan 5, 2024 Thread starter #4 Nimeweka bosi
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,302 Reaction score 7,815 Jan 5, 2024 #5 Hawa wanatengeneza jaribu kuuliza kati ya hao nane huwezi kosa msamaria wakukuelekeza wanaponunulia
imeldaB Member Joined Aug 23, 2019 Posts 39 Reaction score 67 Jan 6, 2024 Thread starter #6 Jane Msowoya said: Hawa wanatengeneza jaribu kuuliza kati ya hao nane huwezi kosa msamaria wakukuelekeza wanaponunulia View attachment 2862704 Click to expand... Asante
Jane Msowoya said: Hawa wanatengeneza jaribu kuuliza kati ya hao nane huwezi kosa msamaria wakukuelekeza wanaponunulia View attachment 2862704 Click to expand... Asante
Srebrina JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 958 Reaction score 426 Sep 8, 2024 #7 imeldaB said: Asante Click to expand... Habari, ulifanikiwa kupata?