Wapi napata duka la Viatu vya Mtumba Orginal?

Wapi napata duka la Viatu vya Mtumba Orginal?

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Habari wadau.

Kwa Dar es Salaam wapi naweza kupata duka la viatu vya mtumba bei ya kati. Mimi sio mdosi. Bei zake range kuanzia 30K mpaka 80K.

Mtumba OG kabisa.

Naomba kuwasilisha.
 
Nenda Kinondoni Morocco pale, kuna mitaa wanauza ulizia white collection
 
Back
Top Bottom