EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Kioo cha Smart google TV, TCL brand 32inch.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga hiyo namba 0673689269
Shukrani sana, nilifanikiwa TV ilishapona kabisa.Piga hiyo namba 0673689269
SawaWanakuja
Bei ya kioo ni bei ya new same tvPiga hiyo namba 0673689269
Nilishafanikiwa mkuu, waliniagizia kioo china na tv ishawaka, acha nione kioo cha kichina sijui nitafika nacho wapi 😂Labda upate used, bei ya kioo kipya genuine ni bei ya tv mpya Tanzania, haya mavioo ya kichina hayafai.
Nilishafanikiwa mkuu, waliniagizia kioo china na tv ishawaka, acha nione kioo cha kichina sijui nitafika nacho wapi 😂
Ulikipata kwa bei gani?Nilishafanikiwa mkuu, waliniagizia kioo china na tv ishawaka, acha nione kioo cha kichina sijui nitafika nacho wapi [emoji23]
Jumla 200k na natengenezoUlikipata kwa bei gani?
Mkuu Kitanizingua siku niniPole sana
wapi huko na nchi 50 yangu imenidodea kioo sijui napata wapiJumla 200k na natengenezo
Mkuu Kitanizingua siku nini
Nipe details za tv nimuulize jamaawapi huko na nchi 50 yangu imenidodea kioo sijui napata wapi
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
OkayItakuja kukusumbua baadae
hisense nchi 50Nipe details za tv nimuulize jamaa
Poapoa njtakujuza mkuu