Wapi napata Mashine za kunyolea za WAHL?

Wapi napata Mashine za kunyolea za WAHL?

Black Label

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
432
Reaction score
553
Msaada - Wapi Dar napata mashine nzuri za kunyolea za WAHL?
 
Weka picha

1675203927615.png
 
Ngapi unataka na bei yako kwa moja?
Weka advance mzigo uletwe unamaliza shughuli imeisha
 
Kkkooo.mtaa wa msimbazi...maduka kibaoo wanaouza vifaa vya saloon..i.got one.from there ya mwanangu
 
Back
Top Bottom