Wapi napata mtama kwa bei rahisi kanda ya ziwa?

Wapi napata mtama kwa bei rahisi kanda ya ziwa?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Nina plan ya kufuga kuku natafuta mtama! Shida ni wa sokoni kuwa na bei ghari!!

Je, napata wap, mtama kwa bei rahisi mwingi!!

Gunia au madebe
 
Back
Top Bottom