Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Habari za siku wakuu, naomba kujulishwa machimbo ya spea parts za Scania kwa bei ya jumla hasa Temeke na kariakoo.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu nimefanikiwa hapo mwanza kwa wahindi.Kariakoo maduka ya Spare za Scania yapo mtaa wa Msimbazi na Livingstone kona unayoingilia ukitoka fire au upande wenye mgahawa wa KFC. Mwanza Automobile,Jaffer Spare parts, pia unaweza kuwacheki Amana Auto parts wakongwe hawa wana maduka Ilala,Tabata,Uhasibu,Kwa aziz ally
Karibu pia kama utahitaji used kutoka South Africa, unatoa order tunakuletea Spare unazotaka.