Kariakoo maduka ya Spare za Scania yapo mtaa wa Msimbazi na Livingstone kona unayoingilia ukitoka fire au upande wenye mgahawa wa KFC. Mwanza Automobile,Jaffer Spare parts, pia unaweza kuwacheki Amana Auto parts wakongwe hawa wana maduka Ilala,Tabata,Uhasibu,Kwa aziz ally
Karibu pia kama utahitaji used kutoka South Africa, unatoa order tunakuletea Spare unazotaka.