Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,379
- 5,499
Habari za leo wakuu!
Asee kama kuna mtu anayefahamu wapi vifaa vizuri kwaajili ya uchoraji Tattoo hupatikana?
Pia kwa yeyote mwenye uelewa wowote ata uzoefu wa biashara hii naomba anisaidie ABC katika biashara hii.
Mwisho hata kwa yeyote ambaye ana biashara hii naomba niweze kuji-connect naye ki biashara zaidi.
Asanteni!