Ivan Breaker JF-Expert Member Joined Jun 13, 2020 Posts 1,379 Reaction score 5,499 Jun 15, 2022 #1 Habari za leo wakuu! Asee kama kuna mtu anayefahamu wapi vifaa vizuri kwaajili ya uchoraji Tattoo hupatikana? Pia kwa yeyote mwenye uelewa wowote ata uzoefu wa biashara hii naomba anisaidie ABC katika biashara hii. Mwisho hata kwa yeyote ambaye ana biashara hii naomba niweze kuji-connect naye ki biashara zaidi. Asanteni!
Habari za leo wakuu! Asee kama kuna mtu anayefahamu wapi vifaa vizuri kwaajili ya uchoraji Tattoo hupatikana? Pia kwa yeyote mwenye uelewa wowote ata uzoefu wa biashara hii naomba anisaidie ABC katika biashara hii. Mwisho hata kwa yeyote ambaye ana biashara hii naomba niweze kuji-connect naye ki biashara zaidi. Asanteni!
Ivan Breaker JF-Expert Member Joined Jun 13, 2020 Posts 1,379 Reaction score 5,499 Jun 16, 2022 Thread starter #2 Asante Moderator [emoji120]
Ivan Breaker JF-Expert Member Joined Jun 13, 2020 Posts 1,379 Reaction score 5,499 Jun 16, 2022 Thread starter #3 analyst75 said: Tatoo... Always interesting subject. Click to expand... Still Wondering[emoji848]