Heshima mbele wakuu wangu. Nilizoea kudownload digital books online kupitia library.nu, sasa ngoma naona imegeuka. Leo najaribu ku-access hiyo web adress nakutana na haya maneno "THE DOMAIN ("library.nu") HAS BEEN REVOKED BY .NU DOMAIN" nikachoka. Naomba mwenye idea tafadhali au web address nyingine ninakoweza pata nondo kwa ajili ya shule yangu tafadhali, msaada kwenye tuta!