Sinza Kumekuchawakuu naomba msaada wa kuweza kujua garage zipi ziafanya diagonisis ya engine ya gari
Gari ina tatizo gani?wakuu naomba msaada wa kuweza kujua garage zipi ziafanya diagonisis ya engine ya gari
Kama unatafuta garage. Kila la heri.gari inamisi mkuu
IST zina port ya OBDII au I? Kuna moja nakumbuka mashine yangu ilikataa kulink.toyota Ist
Miss ni plug, au coil.gari inamisi mkuu
Miss ni plug, au coil.
Nadhani ungefanya kwanza service izo za muhimu kama haujafanya muda.
1. Plugs.
2. Coil.
3. Oil.
4. ATF.
Hafu ndio ukiona tatizo bado ndio uende diagnosis.
Bro samahani,kuna hasara gani kwa mtu kumiliki gari ambayo ni 4WD/AWD?Kama unatafuta garage. Kila la heri.
Ila ukikwama kutatua tatizo lako nicheki. 0621 221 606
Kama hakuna ulazima. Miliki tu ambayo ni 2WD.Bro samahani,kuna hasara gani kwa mtu kumiliki gari ambayo ni 4WD/AWD?
Matumizi ya mafuta si pale tu ninapotumia 4WD?Kama hakuna ulazima. Miliki tu ambayo ni 2WD.
Kuna utofauti kidogo dana kwenye matumizi ya mafuta.
Ukipata ambayo 4WD ni optinal sawa. Yaani unaamua wewe uweke au usiweke.Matumizi ya mafuta si pale tu ninapotumia 4WD?
Duh!!Kumbe kuna ambazo 4WD ni lazima?!Haya ni maajabu!π³π³π³Ukipata ambayo 4WD ni optinal sawa. Yaani unaamua wewe uweke au usiweke.
Nilimaanisha kuweka ON au kuweka OFF.Duh!!Kumbe kuna ambazo 4WD ni lazima?!Haya ni maajabu!π³π³π³
Out of topic: Mkuu umetoka kifungoniDuh!!Kumbe kuna ambazo 4WD ni lazima?!Haya ni maajabu!π³π³π³
Lakini kwa sentensi yako ulimaanisha kuwa yapo ambayo 4WD siyo optinal,yaani 4WD lazima iwe on muda wote!Au nimekuelewa vibaya?Nilimaanisha kuweka ON au kuweka OFF.
Ni kweli ni out of topic na ndiyo maana nimemuomba msamaha kwanza!Out of topic: Mkuu umetoka kifungoni