Wapi naweza ipata samsung A 80?

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Miye ni mapenzi mkubwa wa Simu za kampuni tajwa hapo juu.
Nimefanikiwa kutumia baadhi ya Simiu zake,
Lakini ndoto yangu ilikuwa kumiliki samsung a80,

Je, bado zipo kwenye stock na kwa sasa bei yake ni shs ngapi?
 
Miye ni mapenzi mkubwa wa Simu za kampuni tajwa hapo juu.
Nimefanikiwa kutumia baadhi ya Simiu zake,
Lakini ndoto yangu ilikuwa kumiliki samsung a80,je bado zipo kwenye stock,na kwa sasa bei yake ni shs ngapi?
Sijui,

Labda waje wauzaji wenyewe. Ila sina imani kama bado ziko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…