wadau kwakua bodi ya mkopo ya elimu ya juu tz inanigia mkataba na miye wakunpatipa pesa za chakula na maradhi nk kwa muda huhafaka je nauliza ni wapi naweza ishitaki hii bodi kipindi inapochelewa kunipa huo mkopo wangu kwa wakati
Kukupa mkopo kwa wakati ni moja ya makubaliano katika mkataba? Kama ndio, ni tarehe ipi katika mwezi? Kama madai ya kupewa mkopo ni moja ya makubaliano baina yako na bodi, nenda mahakamani, kwani polisi hawahusiki na kesi zisizo za jamuhuri.