Ngoja waruka juu wajeHabarini wadau wa jamii forum nilikuwa naomba kujuzwa sehemu ambayo naweza jifunza boxing ,karate, kung fu au hata martial arts ambayo ina walimu bora zaidi na lengo la kujifunza sio kwa ajili ya mashindano ni kwa ajili ya mazoezi binafsi na self defence kwa maeneo ya dar es salaam
Njoo machinga complex ilalaHabarini wadau wa jamii forum nilikuwa naomba kujuzwa sehemu ambayo naweza jifunza boxing ,karate, kung fu au hata martial arts ambayo ina walimu bora zaidi na lengo la kujifunza sio kwa ajili ya mashindano ni kwa ajili ya mazoezi binafsi na self defence kwa maeneo ya dar es salaam
Anhaaa nashukuru broKuna jamaa wanaitwa fay heroes wanapatikana Kigamboni, au ingia instagram unaweza kuwapat kwa urahisi
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sawa sawa bro ngoja niwafwatilie wapo sehemu gani kwa pale machinga complexNjoo machinga complex ilala