Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Salamu.
Ama baada ya salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa.
Mwezi Dec nilipata wasaa wa kutembelea nchini Misri, ratiba yangu ilikuwa very tight kiasi kwamba hata airport sikuweza kubadilisha Egyptian Pound kuwa USD.
Sasa zimekaa ndani Nina zaidi ya Pounds laki Moja ya Misri, ubalozini wameniambia hawafanyi exchange 💱, na wala hii sarafu ya Mafarao madukani hamna.
Je ni wapi naweza kubadilishana? Niwape Hela ya Mafarao wanipe za madafu yetu?
Msaada tafadhali