Wapi naweza kubadilisha pesa za kigeni(coins)

Fundi nguo

New Member
Joined
Nov 17, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Members habari zenu.

Ninapesa za kigeni ila ni "coins" natafuta wa kunibadirishia, nimetembelea mabenki na maburea hapa Dar es salaam hawabadirishi pesa za coins. Anayeweza kunisaidia na maelekezo, ntashukuru

16371621487545776817291670987115.jpg

1637162263970849276068458967225.jpg
 
Members habari zenu.

Ninapesa za kigeni ila ni "coins" natafuta wa kunibadirishia, nimetembelea mabenki na maburea hapa Dar es salaam hawabadirishi pesa za coins. Anayeweza kunisaidia na maelekezo, ntashukuru

Wadau,

Naomba kama kuna mtu yeyote anayejua jibu la swali atusaidie maelezo, nami nina coin za pound ambazo nataka kubadilisha. Asante sana
 
Kwa bongo, hizi utatumia kama mapambo, au utafute mtu wa kutoka huko, mbadilishane
 
Back
Top Bottom