Fundi nguo
New Member
- Nov 17, 2021
- 2
- 0
Bank kuu vipi
Bank kuu vipiMembers habari zenu.
Ninapesa za kigeni ila ni "coins" natafuta wa kunibadirishia, nimetembelea mabenki na maburea hapa Dar es salaam hawabadirishi pesa za coins. Anayeweza kunisaidia na maelekezo, ntashukuru
View attachment 2014249
View attachment 2014250
Members habari zenu.
Ninapesa za kigeni ila ni "coins" natafuta wa kunibadirishia, nimetembelea mabenki na maburea hapa Dar es salaam hawabadirishi pesa za coins. Anayeweza kunisaidia na maelekezo, ntashukuru
Kwa bongo, hizi utatumia kama mapambo, au utafute mtu wa kutoka huko, mbadilishaneWadau,
Naomba kama kuna mtu yeyote anayejua jibu la swali atusaidie maelezo, nami nina coin za pound ambazo nataka kubadilisha. Asante sana