Wapi naweza kuchapisha vitabu vikubwa kwa bei rahisi?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habari wadau nina kitabu kina page 4000

Huku posta sehemu ya bei rahisi kuprint 200

4000 x 200 = 800000 laki nane

Heeeh si ni balaa hili naombeni msaada
 
Page 4000?kinahusu nini? najiuliza tu mtu anaweza kusoma hicho kitabu kwa kizazi cha sasa.labda kama kina maswali yanayotokaga kwenye mitihani.

kama ni kitabu cha hadith punguza pages ,ili ufanye ziwe part 1,2 ,3 and 4

unauuza part moja ili uprinti part 2. otherwise nenda karikaoo ndiyo kwenye printers wenye bei ndogo kabisa Tanzania yote
 
Habar wadau nina kitabu kina page 4000

huku posta sehemu ya bei rahisi kuprint 200

4000 x 200 = 800000 laki nane

Heeeh si ni balaa hili naomben msaada
Nenda pale Mkuki Publishers Posta Jirani na Duka Kubwa la Electronics la SAPNA utamkuta ama Mdogo wangu Mkuki Mwenyewe au Baba yake ( Uncle Wangu ) Mzee 'Genius' Walter Bgoya ( Baba Kaneza, Baba Vivian ) watakufanyia Kazi yako vyema kabisa na kwa Gharama ndogo huku Ubora wake ukiwa ni wa Kiwango cha Kimataifa.
 
Kwani bro Genta ni muhaya?
 
Page 4000?kinahusu nini? najiuliza tu mtu anaweza kusoma hicho kitabu kwa kizazi cha sasa.labda kama kina maswali yanayotokaga kwenye mitihani.

kama ni kitabu cha hadith punguza pages ,ili ufanye ziwe part 1,2 ,3 and 4

unauuza part moja ili uprinti part 2. otherwise nenda karikaoo ndiyo kwenye printers wenye bei ndogo kabisa Tanzania yote
Naona hata uko Kariakoo sasaivi sio rahisi kama unavyozani,hawezi akapata kuchapisha kopi moja chini ya shilingi mia,rimu zimepanda bei sasaivi
 
Nina jamaa yangu yeye anaenda kuchapisha vitabu vyake katika nchi ya Seychelles. Huwa anasema kule gharama ni affordable.
 
Page 4000?kinahusu nini? najiuliza tu mtu anaweza kusoma hicho kitabu kwa kizazi cha sasa.labda kama kina maswali yanayotokaga kwenye mitihani.

kama ni kitabu cha hadith punguza pages ,ili ufanye ziwe part 1,2 ,3 and 4

unauuza part moja ili uprinti part 2. otherwise nenda karikaoo ndiyo kwenye printers wenye bei ndogo kabisa Tanzania yote
nipe link mkuu kariakoo mtaa gan ? dukq lii au kampuni ipi
 
Nenda pale Mkuki Publishers Posta Jirani na Duka Kubwa la Electronics la SAPNA utamkuta ama Mdogo wangu Mkuki Mwenyewe au Baba yake ( Uncle Wangu ) Mzee 'Genius' Walter Bgoya ( Baba Kaneza, Baba Vivian ) watakufanyia Kazi yako vyema kabisa na kwa Gharama ndogo huku Ubora wake ukiwa ni wa Kiwango cha Kimataifa.
sh ngap kwq black and white
 
Kitabu chote hicho kinahusu nn? Nina Riwaya yangu ina page 65 lakini Da! Kusoma wabongo hawasomi nimekiweka kabatini nitakufa Njaa.India ndio Bei rahisi kuchapa vitabu.Mkuu ningekuwa karibu ningekuchapia au Nenda Mtaa wa Twiga jangwani kule klabu ya Yanga Kuna bro wangu Asham printer huyu Chinga ana kiwanda chake mtu poa Sana.
 
Kitabu ni A4
A5

Ila page 4000 ambazo ni sawa na karatasi 2000 hicho kitabu au mateso?
 
Back
Top Bottom