msigazi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 467
- 349
Nimekuwa mjini muda mrefu sana
Nimeona kukaa mjini hailipi
Napanga niende kijijini nikalime
Niepukane na matozo ya serikali ambayo yanaletwa kila uchao
Niko kanda ya ziwa
Unanishauri nihamie wapi ambapo naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga
Na nikafanikiwa vizuri zaidi katika kazi zangu