Kwani hakuna tozo ya jembe.Nimekuwa mjini muda mrefu sana
Nimeona kukaa mjini hailipi
Napanga niende kijijini nikalime
Niepukane na matozo ya serikali ambayo yanaletwa kila uchao
Niko kanda ya ziwa
Unanishauri nihamie wapi ambapo naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga
Na nikafanikiwa vizuri zaidi katika kazi zangu
Wewe kama kweli umechoshwa na TOZO basi hamia Burundi! Kinyume na hapo, unajidanganya tu. Hata huko Kijijini unako kimbilia, utazikuta tu.Nimekuwa mjini muda mrefu sana
Nimeona kukaa mjini hailipi
Napanga niende kijijini nikalime
Niepukane na matozo ya serikali ambayo yanaletwa kila uchao
Niko kanda ya ziwa
Unanishauri nihamie wapi ambapo naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga
Na nikafanikiwa vizuri zaidi katika kazi zangu
Kumbe yamekuwa hayo tena [emoji848]Inabidi ujipange haswa kilimo sio mchezo mfano unaposema unataka kulima mahindi,mpunga na maharage soko lako litakuwa wapi? ukijua unaenda eneo gani je changamoto ya kilimo cha mahindi,mpunga na maharage unajizijua ? mahitaji ya madawa,mbolea,mbegu na vifaa vya kupalilia,kuvuna vinapatikana wapi?
Mkuu usimkatishe tamaa .mm nimeingia kwenye kilimo 2 yrs now na nalima ufuta mwaka huu natarajia kupanua kilimo changuKama una hamu ya kulima lima hata bustani uani kwako tu mkuu! Kulima sio kitoto😅 utapoteza mamilioni
Chkua hiliKama una hamu ya kulima lima hata bustani uani kwako tu mkuu! Kulima sio kitoto[emoji28] utapoteza mamilioni
Hongera sanaMkuu usimkatishe tamaa .mm nimeingia kwenye kilimo 2 yrs now na nalima ufuta mwaka huu natarajia kupanua kilimo changu