Wapi naweza kujifunga lugha ya kifaransa Online?

Nipher_21st

Member
Joined
Jan 14, 2022
Posts
46
Reaction score
20
Ni sehemu gani online naweza kusoma French na kupata cheti cha utambulisho kuwa nimesoma lugha hiyo?
 
I know a guy, Ni mwalimu mzuri mno wa kifaransa japo ndo amehitimu chuo mwaka huu. Alifungua darsa la kifaransa online ila yeye hatoi cheti baada ya kihitimu mafunzo yako lakini ni mwalimu mzuri sana wa kifaransa.
Kama unajifunza kwaajili ya kuongeza CV it's okay, ila kama ni mpenzi wa lugha za kigeni na unapenda tu French naweza kukudirect kwake. I've been learning foreign languages for almost 9 years now and niko fluent in Spanish, Portuguese and French (japo siwezi kufundisha mtu) lakini sina cheti hata kimoja though namix sana na wazungumzaji wa hizi lugha
 
Jifunze kichina sasa! Una kipaji cha lugha.
 
Ni sehemu gani online naweza kusoma French na kupata cheti cha utambulisho kuwa nimesoma lugha hiyo?
Vyuo vya SAUT vinafundisha hiyo lugha Malimbe Campus, Dar, Arusha, na kwingineko.
Kuna App inaitwa French ( ya kijani ina bendera ya ufaransa) pakua hiyo ujifunze taratibu
 
asante sana
 
Back
Top Bottom