Wapi naweza kujifunza kichina ?

Wapi naweza kujifunza kichina ?

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Habari zenu wa Jf wote.
Mimi nipo naishi Arusha.
Nilikuwa nauliza wapi nitaweza kupata chuo cha kujifunza lugha ya kichina ?
Mwenye kufahamu awasiliane nami kwa email ya iddyallyninga@Gmail.com ,nitashukuru sana.
 
Umeshapata hiyo shule? Na mimi nataka kujifunza KICHINA, KITURUKI na KISUKUMA
 
Kichina, Kijapan nasikia UDOM vinafundishwa. Cheki huko
 
Back
Top Bottom