tatoo nyalus
Member
- Feb 4, 2019
- 12
- 3
Wewe ni jinsia gani?Habari!mimi nilikuwa naomba msaada wa wapi naweza kijifunza kuoka mikate na maandazi maana nilikuwa napen
da kuja kumiliki bakery yangu...please
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Usiku huu ? Wafanya biashara wamelala tumebaki tu vijana humu wapenda kuchat