and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Wakuu nimepata fursa ya biashara ya kuuza Mkaa katika nchi wanazozungumza Kiarabu Egypt, Oman, Bahrain, Kingdom of Saudi Arabia, UAE na Qatar. Ili kurahisisha mawasiliano nimeona nijifunze lugha pendwa.
Wapi naweza kujifunza kwa Dar es Salaam? Gharama sio tatizo. **Walimu wawe professional, sio hawa wa mitaani.
Wapi naweza kujifunza kwa Dar es Salaam? Gharama sio tatizo. **Walimu wawe professional, sio hawa wa mitaani.