Wapi naweza kukipata kifaa hiki

Wapi naweza kukipata kifaa hiki

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Habari ya majukum wakuu?

Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki?
Kinaitwa TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER

Kinauzwaje?

Mi napatikana Iringa

1725113709279.jpg
 
Piga picha hayo maandishi peke yake hapo chini camera yako sio nzuri,nimeona controller tu.
 
Du, kwa hapa DSM wanaouza vifaa vya maabara au hospital, jaribu huko, vinginevyo wako wanaoweza kukuletea kwa kukununulia nje kama hakipo hapa bongo, hata wanao fanya mambo ya incubators waulize.
 
Njoo Pm ila unabid ali express uwe mvumilivu kidgo
Kipo kinauzwa si bei nyingi sana ila ukiagiza nje kinaweza kuja around 17 sept to 21 sep ndo kinafika Dsm so km una haraka unabid uvumlie tu
 

Attachments

  • Screenshot_20240831_174254_AliExpress.jpg
    Screenshot_20240831_174254_AliExpress.jpg
    507.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240831_174254_AliExpress.jpg
    Screenshot_20240831_174254_AliExpress.jpg
    507.7 KB · Views: 7
Habari ya majukum wakuu?

Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki?
Kinaitwa TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER

Kinauzwaje?

Mi napatikana Iringa

View attachment 3083598
Naunda eggs incubators, hiyo ni accessory ninayemtumia katika temperature management, nipigie nitakuuzia 0767659145 (Alphonce)
 
Back
Top Bottom