Wapi naweza kununua computer full set kwa malipo ya awamu?

Wapi naweza kununua computer full set kwa malipo ya awamu?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Ni duka gani kwa DSM wanadeal na kuuza Computer Wana options ya kulipia kidogo kidogo nina uhitaji wa computer lakini kwa kipato changu ni ngumu kununua kwa pesa ikiwa yote imekamilika.
 
Tuwasiliane mkuu, nikupe location kariakoo kwa rafiki yangu, utalipia taratibu ukimaliza unachukua mali.
 
Back
Top Bottom