BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kariakoo mtaa ganiNenda sanga kariakoo Ila hawakupi mpaka umalize kulipia
Awamu ya kwanza malipo ni Tsh ngapiNenda sanga kariakoo Ila hawakupi mpaka umalize kulipia
Ndio mkuu CPU, monitor, keyboard na mouseIkiwa imejumuishwa CPU na Monitor?
Ndio mkuu CPU, monitor, keyboard na mouse
Ndio mkuu.Unataka uingie kwenye movie library?
Ndio mkuu.
Hakikisha unachukua fujtisu jini computer