Wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima?

Wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima?

The Donchop

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
294
Reaction score
378
Habarini ndugu zangu?

Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima? Maana nimezunguka pasipo mafanikio.

Msaada please.
 
Mkuu ulipata hiyo bima? huku kwetu kupitia amcos unalipia 76,800 kwa mwaka NHIF,Unatibiwa hospital zote kubwa za private bila pingamizi mpaka Ikonda kwetu.
 
Habarini ndugu zangu?

Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima? Maana nimezunguka pasipo mafanikio.

Msaada please.
Hakuna sehemu unapoweza kupata, labda kama ni ile CHF iliyoboreshwa, ambayo ni 30, 000 kwa watu 6 kwa mwaka.japo inatumika kwenye hospital za serikali tu lakini si haba, ina saidia kuliko kutokuwa nayo kabisa!!
 
Back
Top Bottom