The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
Wanaanzia shs 192,000/= kwa mwaka mmoja.Habarini ndugu zangu?
Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima? Maana nimezunguka pasipo mafanikio.
Msaada please.
Hiyo amcos ipo wilaya zote Tanzania??????Mkuu ulipata hiyo bima? huku kwetu kupitia amcos unalipia 76,800 kwa mwaka NHIF,Unatibiwa hospital zote kubwa za private bila pingamizi mpaka Ikonda kwetu.
Hizo amcos ni, kwa wana ushirika tu, kila wilaya zipo lakini ni kupitia vikundi, hivyo lazima uwe mwanachama.Hiyo amcos ipo wilaya zote Tanzania??????
Hakuna sehemu unapoweza kupata, labda kama ni ile CHF iliyoboreshwa, ambayo ni 30, 000 kwa watu 6 kwa mwaka.japo inatumika kwenye hospital za serikali tu lakini si haba, ina saidia kuliko kutokuwa nayo kabisa!!Habarini ndugu zangu?
Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima? Maana nimezunguka pasipo mafanikio.
Msaada please.